Fenerbahçe Spor Kulübü (Fenerbahçe Sports Club) ni klabu ya mpira wa miguu ya Uturuki yenye makao yake mjini Istanbul, Uturuki. Idara hii inayoshughulika na mpira wa miguu ya wanaume ya Fenerbahçe S.K.
Fenerbahçe, inayojulikana kwa jina lingine kama Fener, ni mojawapo ya timu za mpira wa miguu zilizofanikiwa na kuungwa mkono vyema zaidi nchini Uturuki, ambazo hazijawahi kushushwa daraja, na kwa sasa zinashiriki Ligi ya Uturuki, Kombe la Uturuki, Kombe la Super Cup la Uturuki na UEFA Europa Conference League.
Fenerbache ilianzishwa mnamo 3 Mei 1907, Tangu kipindi hicho imefanikiwa kutwaa ubingwa mara 28 kwenye Ligi ya Uturuki, Vikombe 7 vya Uturuki na vikombe 9 Super Cup ya Uturuki,
|accessdate=
(help)
|accessdate=
na |access-date=
specified (help)
|date=, |accessdate=
(help)
|accessdate=
(help)
|accessdate=
na |access-date=
specified (help)
|accessdate=
(help)
|accessdate=
(help)
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Fenerbahçe S.K. (mpira wa miguu) kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |