“They Don't Care About Us” | |||||
---|---|---|---|---|---|
Single ya Michael Jackson kutoka katika albamu ya HIStory: Past, Present and Future, Book I | |||||
Imetolewa | Aprili 1996 | ||||
Muundo | CD single | ||||
Imerekodiwa | 1995 | ||||
Aina | Hip hop, reggae, dance | ||||
Urefu | 4:43 (Album/Single Version) 4:10 (LP Edit) | ||||
Studio | Epic Records | ||||
Mtunzi | Michael Jackson | ||||
Mtayarishaji | Michael Jackson | ||||
Mwenendo wa single za Michael Jackson | |||||
|
"They Don't Care About Us" ni single ya nne kutoka katika albamu ya Michael Jackson, HIStory. Wimbo huu umebaki kuwa kama moja kati ya nyimbo za Jackson zenye nong'ngono kuliko zile zote alizotunga hapo awali. Nchini Marekani, vyombo vya habari vya nchini humo vilianza upekuzi usiyo rasmi juu ya mashairi yaliyomo kwenye wimbo huu na kudai kwamba yanaonyesha dhahili kupingana na sera za Kiyahudi ilhali siyo kweli na wala hakuzungumzia masuala hayo.
Jambo hilo lilipelekea kwa Jackson kufanya mabadiliko ya haraka sana na kuomba radhi kwa mara kadhaa juu ya mashairi yake hasa katika wimbo huu (hata hivyo mashairi ya wimbo yalibaki vilevile). Michael alipata shutuma kibao dhidi ya dhana za kudai kwamba hawapendi Wayahudi, mwenyewe akabisha na kuripoti kwenye vyombo vya habari kwamba walitafsiri vibaya muktadha mzima wa wimbo wake, aidha kwa maksudi ima kibahati mbaya. Wimboni, upo kwenye mazingira ya hip hop ya fujo sana na lundiko la watu wakiwa mtaani.
Chati (1996) | Nafasi Iliyoshika |
---|---|
Australian ARIA Singles Chart | 16 |
Austrian Singles Chart | 3 |
Belgian (Flanders) Singles Chart | 9 |
Belgian (Wallonia) Singles Chart | 3 |
Dutch Singles Chart | 4 |
Finnish Singles Chart | 6 |
French Singles Chart | 4 |
German Singles Chart | 1 (3 w.) |
Italian Singles Chart | 9 |
New Zealand RIANZ Singles Chart | 9 |
Norwegian Singles Chart | 6 |
Spanish Singles Chart | 2 |
Swedish Singles Chart | 3 |
Swiss Singles Chart | 3 |
UK Singles Chart | 4 |
U.S. Billboard Hot 100 | 30 |
Chati (2009) | Nafasi Iliyoshika |
Danish Singles Chart | 9 |
German Singles Chart | 12 |
New Zealand Singles Chart | 20 |
Norwegian Singles Chart | 10 |
Swiss Singles Chart | 4 |
UK Singles Chart | 32 |
UK R&B Chart | 9 |
Nchi | Matunukio | Mauzo |
---|---|---|
Australia | Gold | 35,000+ |
Ujerumani | Platinum | 500,000 |
U.S. and Japan Single
Austrian Single
<ref>
tag; no text was provided for refs named 'They Don't Care About Us' german charts
<ref>
tag; no text was provided for refs named mjvisionary
<ref>
tag; no text was provided for refs named Michael Jackson Billboard History
|=
ignored (help); Unknown parameter |https://www.webcitation.org/5wChHAS9r?url=
ignored (help)
Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu They Don't Care About Us kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |