Antilopinae | ||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Swala mweusi
(Antilope cervicapra) | ||||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||
| ||||||||||||||
Ngazi za chini | ||||||||||||||
Jenasi 15:
|
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Antilopinae ni nusufamilia kubwa katika familia Bovidae. Spishi zake zinafanana na swala. Nusufamilia hii ina jenasi 15 ndani yake:
Ili kupata maelezo kuhusu masanduku ya uanapwa ya spishi angalia: Wikipedia:WikiProject Mammals/Article templates/doc.