Benki kuu ni taasisi inayosimamia mfumo wa sarafu na sera za pesa ya nchi au nchi zenye muungano wa kifedha, na kusimamia mfumo wa benki za biashara. Tofauti na benki ya biashara, benki kuu ina uhodhisoko wa kuongeza kiasi cha pesa.
Katika nchi nyingi benki kuu huwa na mamlaka ya usimamizi na udhibiti ili kuhakikisha uthabiti wa benki za biashara na kuzuia tabia ya uzembe au ulaghai inayofanywa na benki inayosimamiwa nayo.
Katika mataifa mengi yaliyoendelea, benki kuu huwa na kiwango kikubwa cha uhuru katika utekelezaji wa shughuli bila kuingiliwa na siasa. Hata hivyo, udhibiti fulani wa serikali au bunge upo.
Kazi za benki kuu kawaida ni pamoja na:
Although it is difficult to define central banking, ... a functional definition is most useful. ... Capie et al. (1994) define a central bank as the government's bank, the monopoly note issuer and lender of last resort.Check date values in:
|accessdate=
(help)
|date=
(help)
|date=
(help)
|accessdate=
(help)
|url-status=
ignored (help) (176 KB) – C E V Borio, Bank for International Settlements, BaselMakala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Benki kuu kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |