Bretagne








Bretagne

Bendera

Nembo
Nchi Bendera ya Ufaransa Ufaransa
Mji mkuu Rennes
Eneo
 - Jumla 27,208 km²
Tovuti:  http://www.bretagne.bzh/
Brest, Brittany

Bretagne (Kiing.: Brittany) ni jina la kutaja mkoa uliopo nchini Ufaransa. Mji mkuu wake ni Rennes.

Wilaya

  1. Côtes-d'Armor
  2. Finistère
  3. Ille-et-Vilaine
  4. Morbihan

Viungo vya nje

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo ya Ufaransa bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Bretagne kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.