Jiji la Cincinnati | |||
| |||
Mahali pa mji wa Cincinnati katika Marekani |
|||
Majiranukta: 39°8′10″N 84°30′11″W / 39.13611°N 84.50306°W | |||
Nchi | Marekani | ||
---|---|---|---|
Jimbo | Ohio | ||
Wilaya | Hamilton | ||
Idadi ya wakazi | |||
- Wakazi kwa ujumla | 332,458 |
Cincinnati ni mji wa Marekani katika jimbo la Ohio. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2007, mji una wakazi wapatao milioni 2.2 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 147 kutoka juu ya usawa wa bahari.
Makala hii kuhusu maeneo ya Marekani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Cincinnati, Ohio kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |