Francisco Gento

Gento akiwa Real Madrid.

Francisco Gento López (pia unaweza kumuita Paco; alizaliwa 21 Oktoba 1933) ni mchezaji wa zamani wa soka wa Hispania, ambaye alicheza kama winga wa kushoto katika timu ya Real Madrid.

Gento alianza kazi yake na Racing Santander mwaka wa 1952 na akahamia Real Madrid msimu uliofuata.

Katika kazi ya kitaifa ya miaka 14, Gento alipata kofia 43 za Hispania, alicheza Kombe la Dunia mwaka 1962 na 1966. Kufuatia kifo cha Alfredo Di Stéfano, Gento alichaguliwa kuwa nahodha au kiongozi wa Real Madrid.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Francisco Gento kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.