Fransisko, katika miezi iliyofuata na ugonjwa uliommaliza, aling’aa kwa maadili, kwa kuvumilia tabu, kwa imani na kwa kudumu katika sala.
Pamoja na dada yake mdogo Yasinta, alitangazwa na Papa Yohane Paulo II kuwa mwenye heri tarehe 13 Mei2000, halafu na Papa Fransisko kuwa mtakatifu tarehe 13 Mei 2017, miaka 100 kamili tangu tukio la kwanza.
Lúcia de Jesus, Memórias, edição crítica de Cristina Sobral, apresentação de Marco Daniel Duarte, Santuário de Fátima, Fátima 2016. ISBN 978-989-8418-08-1
Sister Lúcia wrote detailed accounts or "memoirs" of her cousins for their canonization process, later adding a detailed account of the Marian apparitions and information about her family. All memoirs are available for free online in English language as Fátima in Lúcia’s own wordsArchived 9 Aprili 2016 at the Wayback Machine..
"The True Story of Fátima"Archived 29 Juni 2011 at the Wayback Machine. - Book by John De Marchi containing first-person accounts, including those of newspaper reporters and the children themselves. Entire text online.
The 13th Day - 2009 film about Fátima, produced by Ian and Dominic Higgins
"The Call To Fátima" Documentary about the story and the message, explaining Lúcia's book Calls of the Fátima Message.
Our Lady of Fátima, "All About Mary" The University of Dayton's Marian Library/International Marian Research Institute (IMRI) is the world's largest repository of books, artwork and artifacts devoted to Mary, the mother of Christ, and a pontifical center of research and scholarship with a vast presence in cyberspace.
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.