Illmatic | |||||
---|---|---|---|---|---|
Studio album ya Nas | |||||
Imetolewa | 19 Aprili 1994 | ||||
Imerekodiwa | 1992–1993 Battery Studios, Unique Studios, Chung King Studios, D&D Recording (New York City, New York) |
||||
Aina | Hip hop | ||||
Urefu | 39:43 | ||||
Lebo | Columbia CK 57684 |
||||
Mtayarishaji | DJ Premier, Large Professor, L.E.S., MC Serch (Watayarishaji Watendaji), Nas, Q-Tip, Pete Rock | ||||
Wendo wa albamu za Nas | |||||
|
|||||
Single za kutoka katika albamu ya Illmatic | |||||
|
Illmatic ni jina albamu ya kwanza ya rapa wa Kimarekani Nas. Albamu ilitolewa mnamo tar. 19 Aprili 1994, kupitia studio za Columbia Records. Kufuatia kwake kuingia mkataba na Columbia kwa msaada wa MC Serch, kipindi cha kurekodi albamu hii kimechukua nafasi baina ya mwaka wa 1992 hadi 1993 katika studio za Chung King Studios, D&D Recording, Battery Studios, na Unique Recording Studios huko mjini New York City. Utayarishaji wake ulishughulikiwa na Nas, Large Professor, Pete Rock, Q-Tip, L.E.S., na DJ Premier. Staili na albamu ya kigumu ya hip hop, Illmatic inakashda za Nas za kuingiza silabi ndani ya vina vinavyoelezea maudhui na hali ya mahali anapotoka huko mjini Queensbridge, New York.
Juu ya kutolewa kwake, albamu ilishika nafasi ya 12 katika chati za Billboard 200 huko nchini Marekani, na kuuza nakala 59,000 katika wiki yake ya kwanza. Hata hivyo, mauzo yake ya awali yameanguka vibaya mno na kwenda kinyume na matarajio na single zake zote tano zimeshindwa kupata mafanikio ya haja katika chati. Wakati inapitia hali ya awali ya mauzo ya chini, Illmatic imepokea tahakiki halisi kutoka kwa watahakiki kadha wa kadha wa muziki juu ya kutolewa kwake na kupokea sifa kemkem kwa mashairi yaliyomo, utayarishaji, na staili ya mashairi ya Nas. Mnamo tar. 17 Januari 1996, albamu imetunukiwa dhahabu na Recording Industry Association of America, na mwaka wa 2001, imepokea platinum baada ya mauzo yake ya nakala milioni nje ya Marekani.
# | Jina | Waimbaji | Watayarishaji | Sampuli | Imerekodiwa | Urefu |
---|---|---|---|---|---|---|
1 | "The Genesis" |
|
1993 | 1:45 | ||
2 | "N.Y. State of Mind" |
|
DJ Premier |
|
1992 | 4:54 |
3 | "Life's a Bitch" |
|
L.E.S., Nas |
|
1993 | 3:30 |
4 | "The World Is Yours" |
|
Pete Rock |
|
1992 | 4:50 |
5 | "Halftime" |
|
Large Professor |
|
1992 | 4:20 |
6 | "Memory Lane (Sittin' in da Park)" |
|
DJ Premier |
|
1992 | 4:08 |
7 | "One Love" |
|
Q-Tip |
|
1992 | 5:25 |
8 | "One Time 4 Your Mind" |
|
Large Professor |
|
1992 | 3:18 |
9 | "Represent" |
|
DJ Premier |
|
1993 | 4:12 |
10 | "It Ain't Hard to Tell" |
|
Large Professor |
|
1992 | 3:22 |
Chati (1994) | Nafasi iliyoshika |
---|---|
U.S. Billboard 200 | 12 |
U.S. Top R&B/Hip-Hop Albums | 2 |
Mwaka | Single | Nafasi ilizoshika | ||||
---|---|---|---|---|---|---|
Billboard Hot 100 | Hot R&B Singles | Hot Rap Tracks | Hot Dance Music/Maxi-Singles Sales | |||
1993 | "Halftime" | — | — | 8 | — | |
1994 | "It Ain't Hard to Tell" | 91 | 57 | 13 | 3 | |
"The World Is Yours" | 114 | 67 | 27 | 6 | ||
"Life's a Bitch" | — | — | — | — | ||
"One Love" | — | 106 | 24 | 6 | ||
"—" denotes a release that did not chart. |
| width="50%" align="left" valign="top" |
|date=
(help)