Kana ya Galilaya (kwa Kigiriki: Κανὰ τῆς Γαλιλαίας) ni kijiji kinachotajwa mara kadhaa na Injili ya Yohane.
Humo tunasoma juu ya miujiza miwili ya Yesu:
Pia kinatajwa kama asili ya Nathanaeli (21:2).
Makala hii kuhusu mambo ya Biblia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kana kama historia yake au athari wake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |