Karpati au Milima ya Karpati ni safu ya milima yenye urefu wa km 1,000 katika Ulaya ya Kati na ya Mashariki, ya pili barani baada ya Milima ya Skandinavia, (km 1,700).
Safu hiyo ina umbo la upinde unaoanzia Ucheki (3%) kupita Slovakia (17%), Poland (10%), Hungaria (4%) na Ukraine (11%), hadi Romania (51%). Milima mirefu zaidi inaitwa Tatra, mpakani kwa Slovakia na Poland, ambapo vilele vinazidi mita 2,600 juu ya usawa wa bahari.
|accessdate=
(help)|accessdate=
(help)Karpati travel guide kutoka Wikisafiri
Wikisource has the text of the 1911 Encyclopædia Britannica article Carpathian Mountains. |
Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Karpati kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |