Kitukuu

Kitukuu (pia: mtukuu au kusukuu) ni mtoto wa mjukuu, bila kujali jinsia.

Mtoto wake tena anaitwa kilembwe, na mjukuu wake kilembekweza, kilembwekeze au kining'ina.

Marejeo

  1. 1.0 1.1 "eLimu | Msamiati: Nasaba/ Ukoo". learn.e-limu.org. Iliwekwa mnamo 2022-04-12.