Kolibri | ||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Kolibri kidevu-cheusi, Archilochus alexandri
| ||||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||
| ||||||||||||||
Ngazi za chini | ||||||||||||||
Nusufamilia 2: |
Kolibri (kutoka Kitaino: kolibrí, kupitia Kijerumani: kolibri) ni ndege wadogo wazuri wa familia Trochilidae ambao wanatokea Amerika tu. Wako miongoni mwa ndege wadogo kabisa. Wengi wana urefu kati ya sm 7.5 na 13, lakini ndege mdogo kabisa duniani, kolibri-nyuki, ana urefu wa sm 5 tu. Ndege hawa wanaweza kuangama hewani wakipapatika mabawa yao mara 12-80 kwa sekunde. Hii inatoa sauti ya uvumi (Kiing. "humming", kwa hivyo jina lao la hummingbird).
Phaetornithinae
Trochilinae
Makala hii kuhusu ndege fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kolibri kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |