Mkoa wa Montagnes


Mkoa wa Montagnes
Mahali paMkoa wa Montagnes
Mahali paMkoa wa Montagnes
Mahali pa Mkoa wa Montagnes katika Cote d'Ivoire
Majiranukta: 7°20′N 7°40′W / 7.333°N 7.667°W / 7.333; -7.667
Nchi Bendera ya Côte d'Ivoire Côte d'Ivoire
Wilaya 6
Mji mkuu Man
Eneo
 - Jumla 16.600 km²
Idadi ya wakazi (1998)
 - Wakazi kwa ujumla 936.502
GMT (UTC+0)

Mkoa wa Montagnes au Mkoa wa Dix-Huit Montagnes (kwa Kifaransa: Région des Montagnes au Région des Dix-Huit Montagnes) ni moja kati ya mikoa 19 ya huko nchini Cote d'Ivoire, kabla ya 2011. Iko katika magharibi ya nchi. Mwaka 1998 idadi ya wakazi ilikuwa watu 936.502.

Kuna tarafa sita ambazo ni

Makao makuu yako Man.

Marejeo

  1. Namba za sensa ya mwaka 1998 kufuatana na