Odissi Pia inafahamika kama Orissi katika fasihi za kale. Ni uchezaji ngoma kubwa ya kale za kihindi ya asili ambayo ilitoka katika mahekalu ya Odisha (jimbo la pwani la mashariki la India).
Odissi, katika historia yake, ilikuwa ikichezwa zaidi na wanawake,na kueleza hadithi ya dini na mawazo ya kiroho, hasa ya Vaishnavism kupitia nyimbo zilizoandikwa.
|url-status=
ignored (help); Check date values in: |archivedate=, |accessdate=
(help)
Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Odissi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |