Papa Innocent V

Mwenye heri Papa Inosenti V.

Papa Innocent V, O.P. (takriban 122522 Juni 1276) alikuwa Papa kuanzia tarehe 21 Januari/22 Februari 1276 hadi kifo chake. Alitokea Savoie, leo nchini Ufaransa.

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Pierre de Tarentaise. Alikuwa mtawa wa shirika la Wahubiri.

Alimfuata Papa Gregori X akafuatwa na Papa Adrian V.

Tarehe 9 Machi 1898 Papa Leo XIII alimtangaza mwenye heri.

Sikukuu yake huadhimishwa kwenye tarehe ya kifo chake.

Tazama pia

Tanbihi

Viungo vya nje

Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Innocent V kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.