Seva

Seva za Wikimedia Foundation.

Seva (kutoka Kiingereza "server") ni kompyuta au programu kubwa inayounganisha kompyuta nyingine zilizounganishwa kwenye mfumo mmoja wa mawasiliano ya mtandao.

Tanbihi

Viungo vya nje

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mambo ya teknolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu mada hiyo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.