Aliwahi kuwa na mawazo yaliyofanana na ya Luther bila kumjua. Baada ya kusoma maandishi yake akaongoza tapo la kutengeneza Kanisa, akakubaliwa na viongozi wa serikali za miji na mikoa mbalimbali ya Uswisi iliyojitegemea.
Kanisa Katoliki likamtenga na tapo lake halikuenea nje ya nchi yake.
Mafundisho
Martin Luther alitetea Chakula cha Bwana kuwa tendo la Kristo mwenyewe. Aliona Mkate ndio mwili wa Kristo wakati wa ibada hii kwani Kristo alisema "Huu ndio mwili wangu". Lakini Zwingli alisema mkate katika ibada ni ishara tu inayomaanisha mwili wa Kristo, tena alifundisha ubatizo na chakula cha Bwana kuwa matendo ya Wakristo tu yanayoiga mfano wa Yesu. Katika jambo hilo hawakupatana na ndiyo sababu kwa muda mrefu walishindwa kuwa na ibada za pamoja, lakini siku hizi kuna maelewano.
Maandishi
Zwingli's collected works are expected to fill 21 volumes. A collection of selected works was published in 1995 by the Zwingliverein in collaboration with the Theologischer Verlag Zürich This four-volume collection contains the following works:
Antwort auf die Predigt Luthers gegen die Schwärmer (1527) "A Refutation of Luther's sermon against vain enthusiasm"
Die beiden Berner Predigten (1528) "The Berne sermons"
Rechenschaft über den Glauben (1530) "An Exposition of the Faith"
Die Vorsehung (1530) "Providence"
Erklärung des christlichen Glaubens (1531) "Explanation of the Christian faith"
The complete 21-volume edition is being undertaken by the Zwingliverein in collaboration with the Institut für schweizerische Reformationsgeschichte, and is projected to be organised as follows:
vols. I–VI Werke: Zwingli's theological and political writings, essays, sermons etc., in chronological order. This section was completed in 1991.
vols. VII–XI Briefe: Letters
vol. XII Randglossen: Zwingli's glosses in the margin of books
vols XIII ff. Exegetische Schriften: Zwingli's exegetical notes on the Bible.
Vols. XIII and XIV have been published, vols. XV and XVI are under preparation. Vols. XVII to XXI are planned to cover the New Testament.
Older German / Latin editions available online include:
Huldreich Zwinglis sämtliche Werke, vol. 1, Corpus Reformatorum vol. 88, ed. Emil Egli. Berlin: Schwetschke, 1905.
Furcha, E. J., mhariri (1985), Huldrych Zwingli, 1484–1531: A Legacy of Radical Reform: Papers from the 1984 International Zwingli Symposium McGill University, Montreal: Faculty of Religious Studies, McGill University, ISBN0-7717-0124-1.
Locher, Gottfried W. (1981), Zwingli's Thought: New Perspectives, Leiden: E.J. Brill, ISBN90-04-06420-6.
Old, Hughes Oliphant (1998), The Reading and Preaching of the Scriptures in the Worship of the Christian Church, Volume 4, Grand Rapids, Michigan: Wm. B. Eerdmans Publishing, ISBN978-0-8028-4775-1.
Stephens, W. Peter (2004), "The theology of Zwingli", katika Bagchi, David V. N.; Steinmetz, David Curtis, The Cambridge Companion to Reformation Theology, Cambridge: Cambridge University Press, ISBN0-521-77662-7.
Balserak, Jon. John Calvin as Sixteenth-Century Prophet (Oxford University Press, 2014) ISBN 9780198-703259 - considerable coverage of Zurich theology.
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.