Hatua kuu za uhamaji wa Walombardi kutoka Uswidi hadi Italia.
Utawala wa Walombardi Italia (samawati ) ilipofikia kilele chake (751 ).
Walombardi (au Walongobardi , kutoka Kilatini Langobardi , yaani "wenye ndevu ndefu") walikuwa moja kati ya makabila ya Kijerumani .
Kutoka Uswidi walianza kuelekea kusini na kati ya karne ya 2 hadi karne ya 6 walifika hadi Italia ambayo waliiteka kuanzia mwaka 568 na kuitawala kwa kiasi kikubwa hadi waliposhindwa na Karolo Mkuu mwaka 774 .
Hata hivyo katika Italia Kusini walidumu kutawala maeneo mapana hadi karne ya 11 walipozidiwa na Wanormani . Jambo hilo lilifanya wakazi wengi wabaki nje ya utawala wa dola la Bizanti na Ukristo wa Mashariki .
Hasa baada ya kuacha Uario na kujiunga na Kanisa Katoliki , Walombardi walichanganyikana na wenyeji. Kwa kuwa katika kuhamahama hawakukaa sana nje ya maeneo ya Kijerumani, tofauti na Wagothi , walileta Italia urithi wa kijenetikia karibu sawa na ule wa watu wa Skandinavia (hasa kisiwa cha Gotland ). Mchango huo katika DNA ya Waitalia wa leo kwa jumla hauzidi 10% .
Vilevile katika maeneo walipoishi walichangia mabadiliko ya lugha ya Kilatini kuwa Kiitalia na lugha na lahaja nyingine za Kirumi .
Tanbihi
↑ Christie 1995 . "The Lombards, also known as the Longobards, were a Germanic tribe whose fabled origins lay in the barbarian realm of Scandinavia."
↑ Whitby 2012 , p. 857. "Lombards, or Langobardi, a Germanic group..."
↑ Brown 2005 . "Lombards... a west-Germanic people..."
↑ Darvill 2009 . "Lombards (Lombard). Germanic people..."
↑ Taviani-Carozzi 2005 . "Lombards, A people of Germanic origin, conquerors of part of Italy from 568."
↑ Priester, 16. From Proto-Germanic winna- , meaning "to fight, win".
↑ Harrison, D.; Svensson, K. (2007). Vikingaliv Fälth & Hässler, Värnamo. ISBN 978-91-27-35725-9 p. 74
Vyanzo
Marejeo ya kisasa
Amorim, Carlos Eduardo G. (February 20, 2018a). "Understanding 6th-Century Barbarian Social Organization and Migration through Paleogenomics" 9 (3547). doi :10.1101/268250 . Iliwekwa mnamo March 13, 2020 .
Amorim, Carlos Eduardo G. (September 11, 2018b). "Understanding 6th-century barbarian social organization and migration through paleogenomics" . Nature Communications (Nature Research ) 9 (3547). PMC 6134036 . PMID 30206220 . doi :10.1038/s41467-018-06024-4 . Iliwekwa mnamo March 13, 2020 .
Bluhme, Friedrich (1868). Die Gens Langobardorum und ihre Herkunft, ...und ihre Sprache . Bonn: A.Marcus.
Brown, Thomas S. (2005). "Lombards" . Katika Kazhdan, Alexander P. . The Oxford Dictionary of Byzantium . Oxford University Press . ISBN 9780195187922 . Iliwekwa mnamo January 26, 2020 .
Bruckner, Wilhelm (1895). Die Sprache der Langobarden , Quellen und Forschungen zur Sprach- und Culturgeschichte der germanischen Völker, 75. Strassburg: Karl J. Trübner.
Christie, Neil (1995). The Lombards . Wiley . ISBN 0631182381 .
Christie, Neil (2018). "Lomvard Invasion Of Italy" . Katika Nicholson, Oliver. The Oxford Dictionary of Late Antiquity . Oxford University Press . ku. 919–920. ISBN 9780191744457 . doi :10.1093/acref/9780198662778.001.0001 . Iliwekwa mnamo March 13, 2020 .
Christie, Neil (2018). "Lombards" . Katika Nicholson, Oliver. The Oxford Dictionary of Late Antiquity . Oxford University Press . ku. 920–922. ISBN 9780191744457 . doi :10.1093/acref/9780198662778.001.0001 . Iliwekwa mnamo March 13, 2020 .
Darvill, Timothy (2009). "Lombards" . The Concise Oxford Dictionary of Archaeology (toleo la 3). Oxford University Press . ISBN 9780191727139 . doi :10.1093/acref/9780199534043.001.0001 . Iliwekwa mnamo January 25, 2020 .
Everett, Nicholas (2003). Literacy in Lombard Italy, c. 568-774 . Cambridge: Cambridge University Press . ISBN 9780521819053 .
Fröhlich, Hermann (1976). "Zur Herkunft der Langobarden" . In Quellen und Forschungen aus italienischen Archiven und Bibliotheken (QFIAB) 55/56 . Tübingen : Max Niemeyer. pp. 1–21.
Fröhlich, Hermann (1980). Studien zur langobardischen Thronfolge . In two volumes. Diss. Eberhard-Karls-Universität zu Tübingen.
Giess, Hildegard. "The Sculpture of the Cloister of Santa Sofia in Benevento" ,The Art Bulletin , Vol. 41, No. 3. (September 1959), pp 249–256.
Grimm, Jacob (1875–78) . Deutsche Mythologie
Gwatkin, H. M. , Whitney, J. P. (ed) (1913). The Cambridge Medieval History : Volume II—The Rise of the Saracens and the Foundations of the Western Empire .
Hallenbeck, Jan T (1982). Pavia and Rome: The Lombard Monarchy and the Papacy in the Eighth Century . Transactions of the American Philosophical Society, vol.74 — New Series, part 4. Philadelphia.
Hammerstein-Loxten, Wilhelm Freiherr von (1869). Die Bardengau . Hannover: Hahn'sche Buchhandlung.
Hartmann, Ludo Moritz. Geschichte Italiens im Mittelalter II Vol.
Hodgkin, Thomas. Italy and Her Invaders . Clarendon Press
Leonardi, Michela (September 6, 2018). "The female ancestor's tale: Long‐term matrilineal continuity in a nonisolated region of Tuscany" . American Journal of Physical Anthropology (Wiley ) 167 (3): 497–506. PMID 30187463 . doi :10.1002/ajpa.23679 . Iliwekwa mnamo March 13, 2020 .
Menghin, Wilifred. Die Langobarden / Geschichte und Archäologie . Theiss
O'Sullivan, Niall (September 9, 2018). "Ancient genome-wide analyses infer kinship structure in an Early Medieval Alemannic graveyard" . Science Advances (American Association for the Advancement of Science ) 4 (9). PMC 6124919 . PMID 30191172 . doi :10.1126/sciadv.aao1262 . Iliwekwa mnamo March 13, 2020 .
Oman, Charles (1914) . The Dark Ages 476–918 (6th ed.). Periods of European History. London: Rivingtons.
Pohl, Walter and Erhart, Peter (2005). Die Langobarden : Herrschaft und Identität . Forschungen zur Geschichte des Mittelalters, 9. Wien: VÖAW.
Priester, Karin (2004). Geschichte der Langobarden: Gesellschaft – Kultur – Altagsleben . Stuttgart: Konrad Theiss.
The Lombard Laws . foreword by Edward Peters. Philadelphia: University of Pennsylvania Press . 1973. ISBN 0-8122-1055-7 .
Santosuosso, Antonio (2004). Barbarians, Marauders, and Infidels: The Ways of Medieval Warfare . ISBN 0-8133-9153-9
Schmidt, Dr. Ludwig (1885). Zur Geschichte der Langobarden . Leipzig: Gustav Fock. Also in (1884) Älteste Geschichte der Langobarden. Ein Beitrag zur Geschichte der Völkerwanderung . Dissertation. Leipzig, Universität.
Todd, Malcolm (2004). The Early Germans . Wiley . ISBN 9781405117142 .
Wegewitz, Willi. Das langobardische Brandgräberfeld von Putensen, Kreise Harburg
Wickham, Christopher (1998). "Aristocratic Power in Eighth-Century Lombard Italy". Katika Goffart, Walter A.; Murray, Alexander C. After Rome's Fall: Narrators and Sources of Early Medieval History, Essays presented to Walter Goffart . Toronto: University of Toronto Press . ku. 153 –170. ISBN 0-8020-0779-1 . .
Wiese, Robert. Die älteste Geschichte der Langobarden
Zeuss, Kaspar. Die Deutschen und die Nachbarstämme
Carlo Troya, Giovanni Minervini (1852-1855) Codice diplomatico longobardo dal DLXVIII al DCCLXXIV: con note storiche, Napoli, Stamperia reale, 1855
Hutterer, Claus Jürgen (1999). "Langobardisch". Die Germanischen Sprachen . Wiesbaden: Albus. ku. 336–341. ISBN 3-928127-57-8 .
Taviani-Carozzi, Huguette (2005). "Lombards" . Katika Vauchez, André . Encyclopedia of the Middle Ages . James Clarke & Co . ISBN 9780195188172 . doi :10.1093/acref/9780227679319.001.0001 . Iliwekwa mnamo January 26, 2020 .
Vai, Stefania (January 19, 2019). "A genetic perspective on Longobard-Era migrations" . European Journal of Human Genetics (Nature Research ) 27 : 647–656. PMC 6460631 . PMID 30651584 . doi :10.1038/s41431-018-0319-8 . Iliwekwa mnamo March 13, 2020 .
Whitby, L. Michael (2012). "Lombards" . Katika Hornblower, Simon ; Spawforth, Antony; Eidinow, Esther . The Oxford Classical Dictionary (toleo la 4). Oxford University Press . uk. 857. ISBN 9780191735257 . doi :10.1093/acref/9780199545568.001.0001 . Iliwekwa mnamo January 25, 2020 .
Viungo vya nje
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu . Je, unajua kitu kuhusu Walombardi kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari .