WordPress.com (WordPress) ni programu ya kublogu inayomilikiwa na kuhifadhiwa mtandaoni na Automattic. Programu hii imejengwa kwa kutumia programu ya WordPress (WordPress.org), programu huria inayotumiwa na wanablogu.
Tovuti hii inawapa watumiaji waliojiandikisha nafasi ya kuitumia bure. Inapata fedha zake kwa watumiaji wanaochagua mpango wa kuitumia kwa malipo, huduma ya "VIP" na matangazo.
Tovuti hii ilianza kazi kwa majaribio Agosti 8, 2005 na ikaanza kutoa huduma kwa umma Novemba 21, 2005. Mwanzoni ilikuwa ikitumiwa na wale wenye mwaliko tu ingawa baadaye watumiaji wa kivinjari cha Flock waliweza kuitumia . As of February 2017, over 77 million new posts and 42.7 million new comments are published monthly on the service.
|accessdate=
na |access-date=
specified (help)
Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |