Mchadi | |
---|---|
Uainishaji wa kisayansi | |
Himaya: | |
(bila tabaka): | Angiospermae (Mimea inayotoa maua)
|
(bila tabaka): | Eudicots (Mimea ambayo mche wao una majani mawili)
|
(bila tabaka): | Core eudicots (Mimea kama alizeti)
|
Oda: | Caryophyllales (Mimea kama fungu)
|
Familia: | Amaranthaceae (Mimea iliyo na mnasaba na mchicha)
|
Nusufamilia: | |
Jenasi: | |
Spishi: | |
Nususpishi: | B. vulgaris subsp. cicla |
|
Mchadi (kwa Kiing. chard) ni mboga wa majani. Ni katika familia moja na mchicha, Amaranthaceae. Ni nususpishi ndani ya spishi Beta vulgaris iliyo pamoja na kiazisukari.
Majani yake huwa na rangi ya kijani au nyekundu.
Majani hupikwa na kuliwa.
Basionym: Beta vulgaris var. cicla L.
Makala hii kuhusu mmea fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mchadi kama uainishaji wake wa kibiolojia, uenezi au matumizi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |